Welcome to Dr Cheni website!
Dr CheniDr CheniDr Cheni
(Sat - Fri)
Tanzania
Dr CheniDr CheniDr Cheni

Lulu’s Night Wanyakyusa hawana Jambo Dogo

Ni usiku wa Lulu katika ukumbi wa Mawela ikiwa ni send off yake tazama matukio ya kupendeza katika siku hii nzuri ya Miss Lulu Binti wa kinyakyusa. Hapo juu ni tukio la keki na Shampein nadhani hata wewe unatamani kumuona Bwana harusi mwenyewe mtarajiwa huu sasa ni wakati wa utambulisho…
Read More

Wahaya Washerehesha Wenyewe Harusi ya Kijana Wao

Usiku mwingike mzuri tukisheherekea usiku wa Wakili msomi Derick na Mke wake Sellen katika ukumbi wa Primrose usikunulipendeza sana na wahaya walikuwa na shangwe kubwa sana kwa siku ya kijana wao ilikuwa ukigusa tu wahaya hao washainuka yani walijua sana kuichangamsha sherehe. Ukumbini Derick na Mkwe wake Sellen waliingia ndani…
Read More