Welcome to Dr Cheni website!
Dr CheniDr CheniDr Cheni
(Sat - Fri)
Tanzania
Dr CheniDr CheniDr Cheni
Ukimcheat Mpenzi wako

Ni katika sherehe ya Anna usiku mzuri wa Send off yake ambapo Cheni Tv tulifika na kuzungumza na ndugu jamaa pamoja na marafiki pia wa kamtakia heri bi harusi wetu katika maisha yake ya ndoa lakini haya ni majibu ya swali letu la siku “Je ukimcheat Mpenzi wako kwa bahati mbaya bila yeye kujua utamwambia au utauchuna”, Tazama lakini usisahau kuSubscribe ukipenda Share usisahau kutoa Comment je wewe utafanyeje ikikukuta hali hii.

Ukimcheat Mpenzi wako Bila Yeye Kujua Je Utamwambia au Utauchuna

Leave A Comment