Welcome to Dr Cheni website!
Dr CheniDr CheniDr Cheni
(Sat - Fri)
Tanzania
Dr CheniDr CheniDr Cheni
Familia Ya Kihaya

Ni sherehe ya Dennis Pamoja na Mervin usiku mzuri wa kukamilisha siku yao ya ndoa kwa kufurahi na wageni waalikwa, familia pamoja na marafiki ambapo jambo kubwa lililovutia ni kwa familia hii ya Deniss kuamua kufanya sherehe eneo la nyumbani kuwa ukumbi na paka pendeza sana.

Tazama jinsi watu wakiwa na furaha katika siku hii nzuri ya Deniss na Mke wake Mervin usisahau ku Subscribe, Like, Comment pia Share kwa ndugu jamaa na marafiki. Soma zaidi kuhusu sherehe hii kwenye Website hapa>>> https://bit.ly/3Vl5K8m

Leave A Comment